Saturday, February 6, 2016

RAIS MAGUFULI APASUA KWA BARABARA KUELEKEA SINGIDA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CCM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Morogoro wakati akip[ita kuelekea mkoani Singida kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya Chama cha Mapinduzi 'CCM'.
Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukipita katika eneo la Msamvu mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...