Wednesday, October 31, 2012

YALIYOJIRI EBSS WIKI ILIYOPITA.


ome
Contact Us


Menynah Atick, Mshiriki aliyeyaaga mashindano wiki hii akiimba. 
 
Shindano kabambe la EBSS linazidi kushika kasi ya kuelekea ukingoni na sasa Wamebaki washiriki Saba tu katika mashindano ya EBSS baada ya washiriki wawili, Menynah Atick na Norman Severino kuyaaga mashidano wiki hii.


Kuondoka kwa Norman Severino limekuwa pigo kubwa sana kwa wapenzi wa EBSS kwani wanaamini Norman anaweza japokuwa kura zilikuwa chache zaidi ya wenzake.


Master J na Salama walidhihirisha kusikitishwa na kuondoka kwa Norman. Zimebaki siku chache kabla ya finali ya EBSS ambapo washiriki watano tu watabahatika kuingia fainali tarehe 9, November 2012.

Wachezaji wa ngoma za asili wakiburudisha kabla ya show kuanza.

Norman Severino, Mshiriki aliyeyaaga mashindano wiki hii.

Madam Ritha akitoa maoni juu ya performance ya mshiriki aliyemaliza kuimba.

Walter Chilambo akifunguka.

Washiriki Tisa waliobakia katika EBSS wakiwa juu ya jukwaa pamoja na watangazaji wa EBSS.

HIZI NI BAADHI YAPICHA ZA KIMBUNGA SANDY MAREKANI.
Kimbunga Sandy ni kimbunga ambacho Marekani haijawahi kukishuhudia kwa miaka tisa iliyopita ambapo kwa mujibu wa Sky News ni watu 16 wamepoteza maisha mpaka sasa na nyumba zaidi ya 50 zimewaka moto huku mamilioni ya wananchi wakikaa bila umeme majumbani mwao. Kutokana na hiki kimbunga pia safari za ndege zaidi ya eflu zimeahirishwa ambapo kwa upande mwingine nyumba laki sita na elfu sabini kwenye jiji la New York zimeachwa bila umeme.


Monday, October 29, 2012

GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL PALIVYOWAKA MOTO IJU MAA ILIYOPITA


 
Siku ya ijumaa ilivyojiri pale Giraffe ocean view hotel ambapo mamiss walichuana si mchezo..!
Diamond Platnum akibeba kilio cha Dallas wa Wolper


(Dallas)
Dallas aliyejipatia jina fasta fasta katika jiji la Dar es salaam kutokana na utumiaji wa fedha ambao ulivuka mpaka wa matumizi na kuonga vitu vya thamani kwa mwanadada wa Bongo Movie Jackline Wolper,
amemnunua mwanamuziki Diamond kwa kumpa fedha za kwenda kurekodi wimbo mmoja pamoja na video ambayo inaelezea maisha yake ya mwanadada huyo ilikumponguza ukali wa machungu aliyokuwa nayo. Habari zikiwa bado za motomoto kutoka kwake mwenyewe Dallas, alisema video ya wimbo huo ambao kuna uwezekano ukaitwa Mapenzi sasa Basi, itafanyika nchi za Kiarabu.
Utamu zaidi unaeleza kwamba Dallas alimchukuwa Diamond hadi Dubai kwaajili yakuangalia Location huku akijinadi kwamba haiwezi kufanyiwa Coco Beach. Alizidi kueleza kwamba machungu ya moyo wake yote aliamua kuyamwaga katika wimbo huo, ambapo kila anpousikiliza unapopigwa basi anajikuta akilalamika na kusema 'Mimi mapenzi basi'.
Wimbo huo hata hivyo bado haujaachiwa lakini wadau tayari wameshaweza kuusikiliza na kuutamani kuona hiyo video yaani, kwa jinsi wimbo huo ulivyokuwa dipu katika mapeniz huku kijana Naseeb Abdul 'Diamond' akisikitikia mapenzi kwa niaba ya Dallas.


(Jack Wolper ezi hizo akitanua na mali za Dallas)
 
Hizi ni baadhi ya picha ambazo zimefanyiwa Auddition ya video hiyo mpya.


H.Baba amshutumu Diamond kwamba anabeba watu wa kumshangilia


H.Baba
Mwanamuziki wa miondoko ya Bongo Bolingo, H Baba jana kwenye kipindi cha Tagzweek, amevunja ukimya kwa kusema mwanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond' amekuwa na tabia ya kubeba mashabiki wa
kumshangilia kwenye show zake au sehemu yoyote anayoenda ili kuonekana maarufu. H. Baba alisema mambo hayo amekuwa akiyafanya mara nyingingi, lakini kibaya zaidi kilikuja kumuuma kitendo cha mwanamuziki huyo kuja na watu wa kumshangailia hata kwenye msiba wa gwiji wa filamu nchini R.I.P Steven Kanumba jambo ambalo kwake anaona kama kumkosea mungu. H. Baba amesezidi kutiririka kwa kusema pia mwanamuziki huyo anatabia ya kubeba picha zake kupeleka kwa waandishi, wakati yeye na mpenzi wake  Flora Mvungi wanatafutwa na waandishi kwaajili ya kupata picha, lakini wao wanpeleka picha kwa waandishi.Diamond Plutnam

Saturday, October 27, 2012

SIKUKUU YA WAKALI ''DAR LIVE'' JACKLINE WOLPER AIBUKA KIDEDEA,OMMY DIMPOZ AFANYA BONGE LA SHOW.


Search This BlogSaturday, October 27, 2012


Dimpoz....Kabla ya show kuanza

Dimpoz & Chuma

Dk Cheni alikuwa MC katika kipengele cha Shindano la Ijumaa Sexiest Girl ambapo walikuwa wakichuana Wadada watu,Wema Sepetu,Agnes Gerald na Jaqline Walper.

Wolper akipokea moja ya zawadi zake baada ya kutangazwa mshindi.
Dimpozi,pembeni akiwa na Bodyguard wake.

Dimpoz akiwa na Manager wake Mubenga.

Msami,Dimpoz & Mubenga

Msami & DimpozDimpoz & Dk. Cheni

Chidi akifanya yake.


Mmoja wa shabiki aliyepanda jukwaani na kucheza na Ommy kwa furaha kubwa sana.
Baada ya show

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...