Wednesday, October 31, 2012

YALIYOJIRI EBSS WIKI ILIYOPITA.


ome
Contact Us


Menynah Atick, Mshiriki aliyeyaaga mashindano wiki hii akiimba. 
 
Shindano kabambe la EBSS linazidi kushika kasi ya kuelekea ukingoni na sasa Wamebaki washiriki Saba tu katika mashindano ya EBSS baada ya washiriki wawili, Menynah Atick na Norman Severino kuyaaga mashidano wiki hii.


Kuondoka kwa Norman Severino limekuwa pigo kubwa sana kwa wapenzi wa EBSS kwani wanaamini Norman anaweza japokuwa kura zilikuwa chache zaidi ya wenzake.


Master J na Salama walidhihirisha kusikitishwa na kuondoka kwa Norman. Zimebaki siku chache kabla ya finali ya EBSS ambapo washiriki watano tu watabahatika kuingia fainali tarehe 9, November 2012.

Wachezaji wa ngoma za asili wakiburudisha kabla ya show kuanza.

Norman Severino, Mshiriki aliyeyaaga mashindano wiki hii.

Madam Ritha akitoa maoni juu ya performance ya mshiriki aliyemaliza kuimba.

Walter Chilambo akifunguka.

Washiriki Tisa waliobakia katika EBSS wakiwa juu ya jukwaa pamoja na watangazaji wa EBSS.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...