Thursday, May 31, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BENKI YA MAENDELEO AFRIKA (AFDB)


Ukumbi wa AICC wakati wa Rais Jakaya Kikwete alipkuwa akifungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Africa afDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Mei 31. 20


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Africa afDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Mei 31. 2012

Rais Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa Botswana Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald Kaberuka, Mshauri wa Mfalme wa Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) , Waziri wa Fedha Dkt (wa pili kuhsoto) muda mfupi kabla ya kuzindua mkutano Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Afruka katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Mei 31, 2012


Rais Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa Botswana Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald Kaberuka, Mshauri wa Mfalme wa Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) , Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa (wa pili kuhsoto) katika picha ya pamoja na Marais wastaafu wa Benki ya Afrika.

Wednesday, May 30, 2012

AHSANTE KIKWETI NA SERIKALI YA TANZANIA KWA KUMKUMBUKA STEVEN KANUMBA
Watanzania tumefurahishwa sana na kile serikali imefanya kwa kumkumbuka mwigizaji maarufu sana na aliyeitangaza nchi duniani akiwa na umri mdogo sana, Steven Kanumba.

Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kututhamini sisi wasanii wa Tanzania, kwanini nasema hivi leo.., serikali yetu ya Tanzania imetoa milioni kumi kwa famila ya marehemu Steven Kanumba kama rambirambi ya serikali yetu. Familia ya Steven Kanumba (Jembe) na wasanii wote Bongo Movie  tunawashukuru sana.


Mh. Amos Makalla akisalimiana na Mama mzazi wa Steven Kanumba

.


Naibu Waziri wa Utamaduni na Michezo Mhe, Amos Makalla akiwasili nyumbani kwa marehemu Kanumba kwa ajili ya kutoa rambirambi

Mheshimiwa akiwa makini kufuatiliia ratiba zinazoendelea..

Mama wa marehemu (Mama Frola) akiwa na majonzi akisubiri kinachoendelea.

Mtitu Game mkurugenzi wa Game 1st Quality

Mh; Amos Makalla akiongea machache na vyombo vya habari .Mama wa marehemu akiwa na Mh; Amos Makalla.
Mh; akiwa ameshika kiasi cha milioni kumi(mil 10) kwa ajili ya kukabidhi kwa familia ya marehemu kama rambi rambi ikimwakilisha Mh. Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake.

Kabla ya kukabidhiana mama aliongea machache na kutoa shukrani zake kwa serikali..

Makabidhiano yakafanyika.

Mama akipokea pesa hizo kwa majonzi makubwa

Mama wa marehemu akionyesha kiasi cha fedha alichokabidhiwa kwa niaba ya ndugu na jamaa waliokuwepo

Mama akisaini mkataba toka kwa mwanasheria wa Wizara habari utamaduni na michezo

Seth(Mdogo wa marehemu) naye pia alisaini kama shaidi.

Mh; akisaini.

JB

Mtitu na Mama wa marehemu.

Jack wolper

JB na Tino.

The Greatest nikiwa na mama tukiteta jambo.

The Greatest.

Mama Frola na The Greatest.

Dada wa marehemu(Bela ).

Jenifer Kyaka akiwa na Mama wa marehemu.

Jenifer Kiyaka na Mama Asha Baraka.

Steve Nyerere mkurugenzi wa kampuni mpya ya kisasa inayotambulika kwa jina la OS akiwa na Mh; Amos Makalla Baada ya matukio yote kuisha

BABY FASHION! BABY FASHION! BABY FASHION!

DUKA JIPYA LA NGUO ZA WATOTO NA WATU WAZIMA LAFUNGULIWA MSASANI KARIBU NA  GENERAL TYRE-ULIZA BABY FASHION
Baby fashion ni duka linalouza nguo za watoto, viatu, mashati, tshirts, skni tight, vest, bangili, ereni na urembo kwa akina mama. Bei zetu ni nafuu sana, na ukifika utashangazwa na huduma utakayopata kwa kuuzwa bei poa sana. 

Hizi ni baadhi tu ya nguo tulizonzo:-

WASILIANA NASI KWA SIMU +255 712 87 33 13
BARUA PEPE: veronicajoseph90@gmail.com
Blogu: www.newbabyfashion.blogspot.com

 
POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...