Monday, October 6, 2014

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DODOMA


Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Msanii zao la Serengeti Super Nyota G-Lucky akifanya makamuzi ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Y-Tony akiwajibika kwenye tamasha la Serengeti Fiesta lililokuwa likifanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Chipukizi wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince akiwajibika jukwaani.
Msanii zao la nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (THT), Kadja Maumivu akipagawisha kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa kuamkia leo.
Young Killer akimwaga mistari ya Hip Hop kwa mashabiki waliyojitokeza kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 lililokuwa likifanyika ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Mr Blue akifanya yake jukwaani.
Recho akiimba jukwaani huku mmoja wa wanenguaji wake akiwajibika kwa staili kali.
Mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes akipagawisha jukwaani.
Vanessa Mdee katikati akipagawisha kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta ndani ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Jux akikamua jukwaani.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...