HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU KUPEWA ONYO NA KAMATI YA BUNGE
Mweka
Hazina wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu Nicolaus Harabu akijibu hoja
mbele ya kamati ya hesabu za serikali ya mitaa LAAC ilipotembelea
kukagua miradi mbalimbali ya Halmashauri hiyo.
Mwenyekiti
wa kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa(LAAC) Azza Hamad
akizungumza wakati wa kikao na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya
Mbulu wakati kamati hiyo ilipotembelea halmashauri kukagua miradi
mbalimbali ya maendeleo.
Wajumbe
wa kamati ya Bunge ya Hesabu za serikali za mitaa (LAAC) wakiwa katika
eneo ilipojengwa shule ya sekondari Singland kukagua ujenzi wa vyumba
vya madarasa pamoja na nyumba ya mwalimu.
No comments:
Post a Comment