Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia
duniani Mtukufu Aga Khana baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga
Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es
salaam Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia
duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo
Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu
jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia
duniani Mtukufu Aga Khana hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar
es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongeqa kwa furaha na Kiongozi wa madhehebu ya
Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya
Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015
Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana tayari kwa kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment