Ndugu wa tumbo moja, nyota wa Simba, Simon na Danny
Sserunkuma, wakikumbushia enzi za utotoni na hapa inaonesha kuwa mdogo mtu
analipa fadhila za kubebwa enzi zile.
Dany mwenye rasta ndiye mkubwa na Simon ndiye
anamufaata kuzaliwa. Simon alisajiliwa na Simba akitokea Express ya Uganda huku
kaka mtu akitokea Kenya katika klabu ya Gor Mahia, wote walisajiliwa katika
dirisha dogo la usajili msimu huu.
No comments:
Post a Comment