Tuesday, February 10, 2015

ANGALIA JINSI PLUIJM ALIVYOWAHESHA WACHEZAJI LEO TAIFA

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi yake kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa kimataifa, dhidi ya BDF XI katika michuano ya Kombe la Shirikisho, utakaopigwa Jumamosi wikiendi hii  kwenye Uwanja wa Taifa kabla ya kurudiana wiki mbili baadaye.

Pluijm ameamua kukibadilishia programu ya mazoezi ambapo wanafanya mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni, tofauti na programu za awali ambapo walikuwa wakifanya 'section' moja.
Mliberia, Kpah Sherman (anaye control mpira kifuani), pamoja na Hussein Javu kushoto kwake, Simon Msuva na Oscar Joshua wakiwa maoezini leo.



Kocha msaidizi, Charles Mkwasa wa kwanza kulia, akizungumza jambo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi jioni ya leo, pale Uwanja wa Taifa, Dar.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...