Ni huzuni
ulichanyanyikana na furaha! Ndivyo inaweza kusema kwa msiba wa matajiri mapacha
wawili, Peter na Paul Okoye wa Kundi la P Square ambao wameondokewa na baba
yao, Mr. Okoye Fell hapo jana.
Huzuni wa
kipekee ni kwamba, wamekubwa na msiba huo ikiwa ni miaka miwili tu tangu
waondokewe na mama mzazi.
Kwa mujibu
wa taarifa zilizopatikana ni kwamba Mr. Okoye alifikwa na umati baada ya kuteleza
nyumbani kwake na kuanga chini kwa kutanguliza kichwa chini, ikiwa ni siku
chache baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti.
Mpaka sasa,
hukuna taarifa rasmi za kueleza umauti wake aidha kutoka kwa watoto wake-
Peter, Paul wala Jude lakini Lola Omotayo amepost kwenye Ukurasa wake wa
Instagram akieleza kofo chake.
Kwa upande
mwingine, msiba wao umegeuka kama harusi kutokana na kufunikwa na mastaa kibao
kutoka sehemu mbalimbali ambao ndio wametawala msibani hapo, hali
iliyouchangamsha msiba huo na kusahau majonzi.
Katika msiba
huo, jambo lililowaacha hoi wengi ni hali ya ulinzi kuimarishwa kama vile
wanaweza kudhuriwa na mtu yeyote na mpaka sasa haijajulikana walikuwa na lengo
gani la kumwaga maaskari.
Wasanii wa Kundi la P Square, Paul (wa kwanza kushoto) pamoja na Peter Okoye anayefuatia, wakiwa na mstaa kibao kwenye msiba wa baba yao kipenzi, Okoye |
Marehemu baba yao enzi za uhai wake. |
Ulinzi wa kutosha msibani. |
Ibada ya mazishi ikisomwa. |
Paul kulia na Peter Okoye wakifuatalia masikiliza ibada ya mazishi ya baba yao kipenzi, Okoye Fell aliyefariki jana |
No comments:
Post a Comment