Alikwenda kutalii Barca?, Suarez anatakiwa na Arsenal.
|
Timu ya Arsenal imeanza mbio
za kuhakikisha inamnasa fowadi wa Barcelona anayepigana kupandisha jina lake,
Luis Suarez, Gazeti la The Sun limeripoti.
Suarez, mwenye miaka 28
alijiunga na Barcelona
msimu huu katika majira ya
joto, lakini amekumbana na changamoto kubwa huku mashabiki wa timu hiyo
wakiamini kuwa hajaonesha kiwango cha maana, ikiwa amefunga mabao mawili tu kwenye ligi kuu, La
Liga.
No comments:
Post a Comment