Thursday, July 25, 2013

BAADA YA KUPIGWA CHINI BIG BROTHER, HUDDAH AAMUA KUMALIZA HASIRA ZAKE KWA KUJIPIGA UCHIWengi waliamini kwamba Big Brother imempa fundisho mrembo huyu na kutegemea mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuuuheshimu mwili wake baada ya Video zake za uchi kuvuja akioga bafuni...
Hali imekuwa ni tofauti kwa mrembo huyu asiyeijua thamani ya mwili wake.Tabia ni ngozi.Skendo,picha za uchi huenda ziko katika mishipa ya damu yake....

Hizi ni picha zake za nusu uchi alizotupia mtandaoni.


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...