Thursday, July 25, 2013

WEMA SEPETU ANUNUA GARI JIPYA LA PINKWema Sepetu amenunua gari jipya la rangi ya pink kutokana na maneno ya meneja wake Martin Kadinda aliyoandika facebook na kuweka picha ya Wema akiwa na gari hilo "
samahani kwa ubora wa picha kuwa hafifu....... Ila huyu dada anapenda pink kupitiliza..... haya she gat new pink Car.... mkutane barabarani..." aliandika Martin. Licha ya gari hilo kutotajwa gharama yake wema ni kati ya mastar wa kike wanaomiliki magari meng kwa sasa yakiwemo pia ya gharama kubwa anayomiliki Movie star huyo

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...