SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA MOROGORO
Pichani Hamida aliyenyoosha mikono juu akiwajibika huku mkuu wa wilaya aliyevaa nguo ya damu ya mzee (kulia) akishuhudia mtanange huo.

Pongezi kwa wingi! Mwandishi Fitina Haule wa 'Nipashe' mwenye suti ya pinki akiuelezea mpambano huo kwa mmoja wa washiriki wa Siku ya Wanawake Duniani.
Baadhi ya wanawake waliohudhuria siku yao Uwanja wa Jamhuri.
'Baby' akijidai kwa wakati wake katika shindano hilo ambalo halikuwa rasmi.
MAADHIMISHO ya siku ya wanawake yaliofanyika leo ndani ya Uwanja wa Jamhuri katika Manispaa ya Morogoro yamepambwa na burudani nyingi likiwemo ya shindano la kusakata muziki wa taarabu ambapo katika shindano hilo lisilo rasmi mwandishi wa habari mwandamizi wa gazeti la Mwananchi, Hamida Shariffu 'Baby,' alifanikiwa kumfunika mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bi Halima Dendegu, kwenye mpambano huo.
Hamida alifanikiwa kumfunika mkuu huyo wa wilaya kwenye wimbo wa 'Nani Kama Mama' uliopigwa na lsha Mashauzi ambapo mkuu huyo wa wilaya aliyekuwa mgeni rasmi alimua DJ apige wimbo huo.

No comments:
Post a Comment