Thursday, March 8, 2012

MASHAUZI CLASSIC YAANIKA ALBAM YAKE MPYA
Mtangazaji maarufu Hadija Shahibu ‘Dida’ akizindua shughuli hiyo kwa kufungua shampeni.



KUNDI la Mashauzi Classic chini ya kiongozi wake Isha Ramadhan ‘Mashauzi’ usiku wa kuamkia leo iliwatambulisha mashabiki wake albam zake mbili zinazotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni. Utambulisho huo ulifanyika Klabu ya Sun Cirro jijini Dar es Salaam.

Isha Mashauzi akipagawisha mashabiki. Mdogo wake Isha Mashauzi aitwae Saida ambaye naye ni muimbaji wa kundi hilo akikamua.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...