WAKAMIANA MAZOEZINI
Washiriki 10 waliosalia wanatarajiwa kupanda jukwaani tena Jumapili hii ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala, Zakheem, jijini Dar, ambapo baadhi yao wataliaga shindano na kubaki wanane watakaotinga fainali za shindano hilo .
Fatna Kivava akifuata maagizo ya mwalimu.
Aisha Hassani akijifua.
Wellu Sengo akiwa bize mazoezini.
Suzan Chubwa akijinoa kiaina.
Mwalimu mkuu wa washiriki, Dotto Villet ‘Spencer’, (katikati mbele), akielekeza jambo.
Mazoezi yakiendelea mtindo mmoja.
No comments:
Post a Comment