Monday, March 5, 2012

RAIS JK  AWASILI MJINI MOSHI KWA ZIARA YA SIKU TATU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokewa kwa furaha walipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) jana jioni tayari kwa ziara ya siku tatu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa kwa furaha mara alipotua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) jana jioni.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh Leonidas Gama.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea taarifa ya Mkoa toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mh Leonidas Gama mara tu baada ya kuwasili Ikulu ndogo mjini Moshi jana jioni.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...