Badhi
ya mashabiki wa Sky Light Band wakicheza kwa staili ya pamoja ndani ya ukumbi wa Maisha Basement.
|
USIKU
wa kuamkia leo Sky Light Band iliendeleza kutoa burudani zake ndani ya Ukumbi
wa Maisha Basement Kijitonyama jijini Dar es Salaam, ambapo mashabiki kibao
walihudhuria na kujumuika kwa pamoja kupata muziki muzuri uliokuwa ukipigwa na
bendi hiyo.
Waimbaji
wa Sky Light Band wakiwapagawisha baadhi ya mashabiki zao waliojitokeza
kufuatilia burudani zao ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement Kijitonyama jijini
Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
|
Muimbaji
wa Bendi hiyo Sone Massamba (katikati), akiongoza burudani hizo huku mmoja wa
mashabiki zake akionyesha hali ya kupagawishwa na sauti yake.
|
Waimbaji
wa Sky Light Band wakiimba kwa hisia kali.
|
Badhi
ya mashabiki wa bendi hiyo wakicheza kwa staili ya pamoja.
|
Sone
Massamba akiwaonyesha mashabiki zake staili ya kucheza mmoja ya wimbo wa bendi
hiyo.
|
Mashabiki
wakijaribu kuiga staili walizoonyeshwa.
|
…Wakionyesha uelewa wao baada ya kufundishwa kucheza.
|
No comments:
Post a Comment