Sunday, February 7, 2016

ANGALIA PICHA ZA WAZIMU MWINGINE WA MDOGO WAKE KIM KARDASHIAN!


MDOGO wa mwanamitindo Kim Kardashian, Khloe ameonekana kuwehuka zaidi baada ya kutupia picha za utupu.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, staa huyo aliyewahi kutoka kimapenzi na mcheza mpira wa kikapi, Lamar Odom alitumia ukurasa wake huo kuachia picha hizo mfululizo huku akijifananisha na mwanamitindo na muigizaji wa zamani ambaye alikuwa akijiachia mapozi ya kimahaba, Mairilyn Monroe.

Hata hivyo picha hizo ambazo zinamuonesha akiwa ameshikilia kifua chake na nyingine akiwa amelala pembeni ya bwawa la kuogelea utupu kama alivyozaliwa, inadaiwa zilipigwa kipindi cha mapumziko ya kifamilia Agosti mwaka jana pande za St. Barths, Marekani.


Picha nyingine alizotupia akiwa utupu kama alivyozaliwa huku akiwa amejipaka rangi maeneo ya tumboni na makalioni inasemekena zilipigwa Desemba mwaka jan

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...