Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican
na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla
kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis
kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya
balozi huyo jijini Dar es salaam
Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania,
Francisco Montecillo Padilla qkihutubia kwenye sherehe za kuadhimisha
miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki
nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam
Mabalozi na viongozi mbalimbali kwenye sherehe za
kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa
kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini
Dar es salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernard Membe akiongea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya
kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana
jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam
Sehemu ya maaskofu kwenye sherehe za kuadhimisha miaka
miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini
jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam
Rais Kikwete akisoma hotuba yake kwenye sherehe za
kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa
kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini
Dar es salaam
Rais Kikwete akigonganisha glasi na Balozi wa Vatican na
Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na
Muadhama kardinali Polycarp Pengo kwenye sherehe za kuadhimisha miaka
miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa Katoliki
duniani jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam
Rais Kikwete akigonganisha glasi na Kiongozi wa Mabalozi
nchini na Balozi wa DRC Mhe. Asumani Mpango pamoja na Mhe Membe na Rais
wa baraza la Maskofo wa Kikatoliki Tanzania (TEC) Askofu Tarcisius
Ngalalekumtwa kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa
Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye
makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam
Meza Kuu ikishereherekea miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki duniani
Meza Kuu wakati wa hafla hiyo
Rais Kikwete akiongea na Mabalozi na viongozi wengine
kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis
kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya
balozi huyo jijini Dar es salaam
Waziri Membe akimtambulisha Balozi wa Vatican na Mwakilishi
wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwa Kaimu Mufti
wa Tanzania Sheikh abubakar Zubeiry aliyealikwa kwenye sherehe hizo
rais Kikwete, Waziri Membe, Balozi wa Vatican na
Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na
Kaimu Mufti wa Tanzania Sheikh abubakar Zubeiry kwenye sherehe hizo
Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada
ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa
Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi
ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Rais Kikwete akiagana na watawa baada ya
kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis

Rais Kikwete akisalimiana na Mabalozi na viongozi wengine

balozi huyo jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment