Monday, March 9, 2015

WANASOKA WA KIAFRIKA NI HATARI KWA MIKOKO, ETO'O AMFUNIKA ROONEY


Starehe na kazi ni vitu viwili tofauti. Wayne Rooney 'Wazza', Leonel Messi, Sergio Aguero, Yaya Toure, Cristiano Ronaldo ni mastaa wanaotajwa kuwa mabilionea kutokana na kile wanachoingiza katika ajira ya soka, lakini linapokuja suala la starehe watu hawa hutofautiana.
Wazza ndiye staa anayeongozwa kwa mshahara kwa wachezaji wote duniani, lakini hayumo kwenye 'top five' ya wanaomiliki mikoko ya maana katika list ya mastaa wa soka. Cha ajabu ni kwamba pamoja na umasikini wa kiafrika, mastaa watatu wameingia kwenye orodha ya wanasoka wanaomiliki ndinga za bei mbaya.
Samuel Eto'o, Obafemi Martin na Emmanuel Adebayor hawakuwa nyuma tena juu ya Wayne Rooney ambaye ni baba lao linapokuja suala la mshiko mwisho wa wiki.

ANGALIA VIDEO KWA KUBOFYA link HAPO CHINI


https://www.youtube.com/watch?v=xV-JFlxUy5c

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...