Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ukumbi wa maraha Thai Village Masaki jijini Dar... Ni Ijumaa hii tena watatoa burudani ya aina yake kutoka kwa waimbaji mahiri na wabunifu... Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Ashura Kitenge na Sony Masamba. …
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ukumbi wa maraha Thai Village Masaki jijini Dar... Ni Ijumaa hii tena watatoa burudani ya aina yake kutoka kwa waimbaji mahiri na wabunifu... Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Ashura Kitenge na Sony Masamba.
Binti mrembo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Ashura Kitenge akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Meneja wa Band, Aneth Kushaba AK47 katika show yao ya Ijumaa iliyopita ndani ya koita cha Thai Village-Masaki.
Sam Mapenzi akisikilizia Back Vocal kutoka kwa Mkali wa R&B John Music wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa maraha Thai Village Masaki.
Mashabiki wa Skylight Band wakijinafasi kwenye dancing floor Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village uliopo Masaki jijini Dar.
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiwapa burudani mashabiki wa bendi hiyo huku akisindikizwa Ashura Kitenge.
Mashabiki wa Skylight Band wakifanya yao.
Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani.
Mashabiki nao wakajibu mapigo.
I’m looking for my Johnny……I’m looking for my honey…ya ya ya….you telling me this, you telling me that….I say this is not for me….Johnny do me corny….Johnny do me corny... si mwingine ni Aneth KushabaAK47 sambamba na Ashura Kitenge.
Wadau na mashabiki wa Skylight Band wakipata Ukodak ndani ya kiota cha Thai Village-Masaki jijini Dar.
Number one fans wa Skylight Band...hawa jamaa mpaka Mwanza watia maguu ni jinsi gani Band hii ilivyokuwa kwenye damu zao.
Customer care katika pozi matata sana....
Mdau wa kweli wa Skylight Band, Gerald Kilimo akipozi kwa Ukodak.
Mdau wa Skylight Band, Gerald Kilimo (kushoto), Aneth Kushaba AK47 pamoja na @eddievied wakipata Ukodak.
Mdau Mulle na mratibu wa Skylight Band, Lubea wakiibia Ukodak.
Aneth Kushaba AK47 akipata ukodak na shabiki wake.
No comments:
Post a Comment