Sunday, March 8, 2015

MAMA TUNU PINDA AHAMASISHA WANAWAKE KUPEANA MAWAZO

Mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania Mama Tunu Pinda  akiongea na wanawake.

MKE wa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mama Tunu Pinda jana alikuwa mgeni rasmi katika siku ya fursa kwa wanawake iliyofanyika jana usiku katika ukumbi wa Mlimani City jijni Dar.
Mama Tunu Pinda amewataka wanawake wa Kitanzania kupena mawazo na kubadilishana  uzoefu juu ya masuala mbalimbali katika kumkomboa mwanamke ili asiwe tegemezi katika jamii pia baadhi ya wanawake walipata nafasi ya kupima kansa ya shingo ya kizazi kutoka kwa madaktari bingwa wa PSI.
 Mama Tunu Pinda (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mboni Mahita (kulia) na baadhi ya wanawake wengie wakikata keki.
 
Mgeni rasmi mama Tunu Pinda akitoka kumtunza msanii wa Tht Hellen George ‘Ruby’
  Mwanamama mjasiriamali Maida Waziri ambaye pia ni Mhandisi.
  Daktari Joseph kutoka PSI akiongelea madhara ya shingo ya kizazi kwa wanawake.
 Msanii Nyota Waziri akitoa burudani kwa wanawake.
Mgeni Rasmi mama Tunu Pinda akiwaongoza wanawake kucheza mduara.
 Mama Tunu Pinda na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mboni Mahita wakipiga mnada nguo zilizotengenezwa na wanawake.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...