Uwanja wa Britannia uemendelea kuwa nuksi kwa wachezaji, ukuwa na rekodi ya mchezaji wa Arsenal almanusra akatize maisha yake ya soka mwaka 2010 na sasa tena kuna 'mauaji' mengine yametendeka... Angalia picha.
Kiungo wa Stoke, Ireland akiugulia maumivu baada ya kuchezewa ndovyo sivyo na kiungo wa Hull City, Figueroa kulia. |
Mchezo huo ulipigwa kwenye Uwanja wa Britannia, ambao ni Stoke, ikiwa ni miaka mitano sasa tangu rafu mbaya, yenye halufu ya tukio la wikindi hii lijitokeze ambapo nahodha wa Stoke, Ryan Showcross alivyomvunja mguu kiungo wa Arsenal, Arona Ramsey, mwaka 2010.
Ramsey wa Arsenal aliyeanguka chini, mguu wake uliojuu ukiwa umevunjika baada ya kuchezewa rafu na Showcross wa Stoke |
No comments:
Post a Comment