Monday, February 2, 2015

ZARI AKINUKISHA INSTAGRAM BAADA YA KUMPOSTI DADA AKE DIAMOND

.
MCHUMBA wa Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua utata kwa mashabik.
Zari ambaye bado yupo Bongo katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi. Esma ni dada wa Diamond ambaye ameolewa na Petiti Man

Mpenzi wa sasa wa Diamond, Zari akiwa ndani ya moja ya mikoko yake.

Hii ndiyo posti ya Zari aliyoweka kwaajili ya kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Wifi yake Esma ambaye ni dada ake na mpenzi wake Diamond.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...