GUMZO na habari ya mjini leo ni juu ya kusambaa kwa picha zinazo onyesha wazi juu ya uhusiano wa Wema Sepetu na Ommy Dimpoz, mambo mengi yanasemwa na wadau wa wasanii hao lakini ukweli wa mambo kutoka kwa mastaa hao unaeleza kwamba wapo katika Project yao mpya.
Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' (kushoto) akiwa akipozi na Ommy Dimpoz .
No comments:
Post a Comment