Friday, February 27, 2015
MWANAMITINDO WA KIMATAIFA TAUSI LIKOKOLA ATEMBELEA GLOBAL TV
Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola
akijiweka sawa kufanya mahojiano kupitia Global TV Online leo.
...Akifafanua jambo wakati wa mahojiano.
Tausi Likokola
akijibu maswali ya wanahabari wa Global Publishers (hawapo pichani).
Akiwa katika pozi baada mahojiano.
Musa Mateja (kulia) akiwa katika pozi na Tausi.
Tausi Likokola
akiwa na Martha Mboma (kulia).
...Akiwa na Aloyce Jacob (kushoto).
Global TV Crew, OJ (kushoto) akiwa katika pozi na Tausi.
Omary Mdose (kushoto) akiwa katika pozi na Tausi.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
POSTED TITLE
No comments:
Post a Comment