Saturday, February 7, 2015

JAMANI JAMANI....HUKU SIO KUNADI MENGINE AFCON JAMANI!!!!!


Jamani jamani...huu ni ushabiki au ni matangazo ya bidhaa nyingine! mmoja wa mashabiki wa Guinea Ikweta katika furaha kubwa katika moja ya mechi.

Fanya Fujo Uone FFU, ikitekeleza kirefu cha jina lao, ni katika vurugu za mashabiki wa Guinea Ikweta katika mechi dhidi ya Ghana, ambayo timu yao ilifungwa mabao 3-1.
Unazi kupitiliza...mashabiki hawa wa Guinea Ikweta katika moja ya mechi hatua ya makundi.


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...