Monday, February 16, 2015

ANGALIA MATUKIO KATIKA PICHA ZA DIAMOND, ZARI WALIVYOJIACHIA VISIWANI ZANZIBAR




MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' Zanzibar.

Wakiendelea kufanya yao.

Zarinah Hassan 'The Boss Lady' akiwaza jambo.

Diamond Platnumz akiendesha kigari cha kutembelea kwenye hotelini akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady'.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...