MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat
‘Recho’, usiku wa kuamkia leo alifanya sherehe ya kuzaliwa kwake na
baadhi ya jamaa na marafiki aliowaalika katika Hoteli ya Regence
Mikocheni jijini Dar ees Salaam.
Linah akiwasha mshumaa kama ishara ya upendo kwa shoga’ake. Mzazi mwenzake na mwanamuziki Barnaba aitwaye Mama Steve (kulia) akilishwa keki na Recho. Mtangazaji wa kituo cha EFM, Ssebo (kulia), akilishwa keki.Staa
wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’, akilishana keki na
Estelinah Sanga ‘Linah’, usiku wa kuamkia leo ndani ya Regence Hoteli
Mikocheni jijini Dar, katika sherehe za bethidei yake. Mmoja wa marafiki zake Recho akimtunza fedha. Recho akiwa na wenzake baada ya ufunguzi wa shampeni kufanyika kwa usahihi.
Recho katika pozi.
No comments:
Post a Comment