ALIYEKUWA MSEMAJI WA YANGA SC, ALAMBA SHAVU TFF
Afisa Habari wa zamani wa timu ya Yanga SC. Baraka Kizuguto akiongea jambo mbele ya waandishi wa habari siku chache kabla ya kuachana na Klabu hiyo na kuramba shavu jipya TFF.
HATIMYE aliyewahi kuwa Afisa Habari wa timu ya Yanga SC, Baraka Kizuguto amebahatika kupata shavu la kuitumikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), katika nafasi hiyo.
Habari za uhakika kutoka ndani ya TFF, zimeeleza kwamba Kizuguto amewapiga amepata nafasi hiyo baada ya kuwabwaga wasemaji wenzake zaidi ya 10 waliokuwa wakiwania nafasi hiyo.
No comments:
Post a Comment