Saturday, June 7, 2014

DIAMOND & WEMA WAWA KIVUTIO RED CARPERT YA MTV


 Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zinazoendelea usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...