MWILI WA MSANII WA BONGO MOVIE ADAM KUAMBIANA WAHIFADHIWA MHIMBILI
Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana. Rais wa Bongo Movies, Steve Nyerere akiwa analia nje ya chumba cha maiti Muhimbuli. Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya chumba cha maiti katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mchana wa leo.
No comments:
Post a Comment