Friday, May 9, 2014

MASTER J AFUNGU KA JUU YA MAHUSIANo NA SHAA



Ingawa kuna fununu ambazo si rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Master Jay na Shaa,hapa kuna stori tofauti ambayo Soudy Brown anai-amplify kuhusu mke wa Master Jay kutoka na msanii wa Bongo fleva,hapa utamsikia Master Jay na msanii anayesemekana kumchukua Mke wa Master Jay.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...