Thursday, January 23, 2014

EZEKIEL KAMWAGA ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU MPYA WA SIMBA SC.

Katibu Mkuu mpya wa Simba, Ezekiel Kamwaga.

ALIYEKUWA
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa timu hiyo akichukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyeajiriwa TFF akiwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanachama na Sheria.

Simba imemteua pia Mwandishi Mkongwe wa habari za michezo, Asha Muhaji kuwa Ofisa Habari mpya wa klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...