Friday, January 17, 2014

COASTAL UNION KWENDA SAMBAMBA NA YANGA




Timu ya Coast Union jana ilipoteza mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Fanja ya Oman baada ya kuchezea kichapo kikali kutoka kwa wakali wa pande hizo,ambapo Timu ya Yanga liyopo nchini Uturuki kwaajili ya kujifua kama wao, yenyewe imeendelea kujiwekea rekodi nzuri ambapo kesho itacheza mchezo wa tatu toka iingie nchini hapo,huku Coast nayo ikijitaindi kwenda nao sambamba ambapo kesho pia inatarajia kuwa na mchezo wa kirafiki.
Pamoja na kupoteza mchezo huo wa jana, chini ya Kocha Yusuf Chippo ,
mazoezi hayo yamefanyika kwenye uwanja unaomilikiwa na Shirikisho la Soka la Oman (Ofa) uliopo katika eneo la See jijini Muscat Oman.


  PICHA ZOTE NA  COASTAL UNION SPORTS CLUB



No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...