Wednesday, October 2, 2013

SOMA MANENO YA PENNY ALIYOMUANDIKIA DIAMOND


 
Juu ni ujumbe aliouandika mpenzi wa staa wa Bongofleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mungilwa ‘Penny’ kwa Diamond katika siku yake ya kuzaliwa. Penny ameandika ujumbe huo pamoja na picha hapo juu katika akaunti yake ya Instagram muda mfupi uliopita.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...