Ommy Dimpoz akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Mulamula mara baada ya kutembelea Ubalozini hapo, ambapo alipata fursa ya kusaini kitabu maalum cha wageni na kubadilishana mawazo na Balozi.
Mwanamuziki Ommy Dimpoz akitia saini katika kitabu cha wageni ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington DC.
Ommy Dimpoz akiwa na Balozi Mulamula (katikati) na Promota wake DMK ambaye pia ni Mkurugenzi wa MMK Media Group kampuni inayomiliki Swahili Radio Online, Swahili TV Online, Swahilitv Blog na DMK411 Blog.
No comments:
Post a Comment