Thursday, September 19, 2013

OMMY DIMPOZ AIFIKISHA TUPOGO WASHINGTON DC


Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo Ommy Dimpoz wa pili kutoka kulia akiongea na simu kwenye moja ya matembezi yake jijini Washington DC muda mfupi baada ya kutua nchini hapo kwa ziara ya kimuziki.


Omary Nyembo katika pozi.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...