Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Serengeti Ephraim Mafuru,akiongea na baadhi ya wakazi wa Mbeya waliyojitokeza kwenye semina hiyo.
MPANGO wa kuelimisha wakazi wa mikoa mbalimbali nchini uliyochini ya Serengeti Fiesta 2013, leo umeendelea kuungurum mjini Mbeya, baada ya Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Serengeti Ephraim Mafuru, kuzungumza na kuwa mbinu ya kufanikiwa kimaisha wakazi wa Mbeya ndani ya Ukumbi wa Chuo cha Teofilo Kisanji mijini Mbeya.
Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Group, Ruge Mtahaba akiwaonyesha wakazi wa Mbeya namna ya kutumia fursa kwa aslimali zilizopo Mkoani hapo.
Mwakilishi kutoka NSSF Makao Makuu Salim Halfani, akizungumzia Fursa kwa upande wa NSSF wanavyoweza kuitumia wakazi wa Mbeya.
Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Serengeti Ephraim Mafuru,akiongea na baadhi ya wakazi wa Mbeya waliyojitokeza kwenye semina hiyo.
Mrisho Mpoto naye hakuwa nyuma kutumia kipaji chake kwaajili ya kuwaonyesha fursa wakazi wa Mbeya.
Mtangazaji wa Clouds Redio, Millardi Ayo akiongea jambo kwa wakazi mbeya waliyohudhuria katika Semina ya Kamata Fursa Twenzetu leo katika Ukumbi wa Teofilo Kisanji mjini Mbeya.
Bwana Shamba Yona Daniel akizungumza na wakazi wa Mbeya tayari kwa kuwaonyesha namna ya kutumia Fursa kupitia vilimo mbalimbali.
Baadhi ya Umati uliyojitokeza kwenye Semina ya Kamata Fursa Twenzetu mapema leo mjini Mbeya.

No comments:
Post a Comment