Friday, September 27, 2013

H-BABA,YOUNG KILLER,KALA JEREMIAH, NANI ATAWANYANYUA WAKAZI WA MWANZA SERENGETI FIESTA ???



 H-Baba katika pozi.

KESHO kuanzia mishare ya saa 12 jioni  hadi usiku mbovu itakuwa ni siku ya pekee,baada ya wakali kutoka pande za Mwanza, H-Baba,Kala Jeremiah na mdogo wao Young Killer watakapokutana jukwaani katika Uwanja wa CCM Kirumba,kama wenyeji wa jiji hilo watakuwa na jukumu zito la kuiongoza safu ya Burudani ya Sererngeti Fiesta 2013 ambayo imeambatana na vichwa vikali katika tasnia hiyo, huku wakitazwamwa muonekano wao na upangawishi wa jukwaa kati yao nani atawasimamisha wakazi wa Mwanza katika kuisongesha burudani ya kipekee ya Serengeti Fiesta 2013, ambayo ni shoo maalumu ya pekee ianyofanyika kila mwaka?.
Swali hili ni muhimu sana kutafutiwa majibu na mashabiki watakao zama ndani ya Uwanja huo hiyo kesho, kwani ukiachia wenyeji hao shoo itakuwa na vichwa kibao kama:-
Kala Jeremuah,akiwa na tuzo mkononi.
Rich Mavocal
Diamond
Kala Jeremiah
Kassim
Blue
Stamina
Neylee
Shilole
 
Young Killer juu ya steji.
Wengine watakao washa burudani pamoja na 
Nay wa Mitego
Godzilla
Joh Makini
Niki Wa Pili
G Nako
Chege & Temba
Young Dee
Samir
Makomando
Linah
Juma Nature
Christian Bella
Quick Racka
Walter.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...