Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo Diamond Platinum,hatimaye ameamua kuvunja ukimya na kuchukua kiburudisho kipya katika ziara yake ya kikazi nchini Malaysia. Diamond akiwa katika pozi na mrembo nchini Malaysia Pozi mbalimbali alizopiga Diamond na mrembo huyo ambaye hakuweka wazi jina lake
No comments:
Post a Comment