Friday, December 14, 2012

KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA! MWANAMKE ALIJIFUNGUA MTOTO ANAYEFANANA NA CHURA.



Hujafa hujaumbika.

Mwanamke mmoja amejikuta katika wakati mgumu baada ya kujifungua mtoto mwenye uso na kichwa kama chura.......

Mwanamke huyo ambaye ni mama wa watoto wawili amedumu na mimba hiyo kwa miezi 13...Wengi waliamini kuwa mama huyo alikuwa na mimba ya mapacha.......


Akiongea kwa huruma, mume wake amedai kuwa kuna mkono wa mtu. maana nyoka hawezi kuzaa ng'ombe na kondoo hawezi kuzaa samaki......

Yeye pamoja na mkewe wameamua kumwachia mungu na kwamba wapo tayari kumlea mwanao japo ana kichwa cha chura.....

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...