Wednesday, October 17, 2012

WAZIRI WA UWEZESHAJI KATIKA OFISI YA WAZIRI MKUU AHIMIZA BARAZA LA UWEZESHAJI KUSAIDIA WA TANZANIA

Waziri wa uwezeshaji katika ofisi ya waziri mkuu mh Mery Nagu akiwa anaelekea katika kufungua washa ya mpango mkakati wa utekelezaji katika kukuza uchumi kulia mwenye miwani ni katibu mtendaji wa baraza la taifa la uwezeshaji Dr Anaclet Kashuliza na kushoto ni mwenye kiti wa baraza la taifa la uwezeshaji bwana Emanuel Kamba washa hiyo ilihusisha idara za serekali pamoja na tasisi za serekali washa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...