MZEE WA FACEBOOK ATUA BONGO TAYARI KWA MAKAMUZI...
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika ya Kusini Cleopas Monyepae 'DJ Cleo,' akiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere usiku wa kuamkia leo, tayari kwa makamuzi yatakayofanyika kwenye Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es salaam, kesho jumamosi usiku.
DJ Cleo (kulia), akisalimiana na Mkurugenzi wa Times FM, Lehule Nyaulawa wakati wa mapokezi hayo katika Uwanja wa kimataifa wa JK Nyerere usiku wa kuamkia leo.
DJ Cleo (katikati), akiongozana na wanamuziki wenzake tayari kwa kupanda gari kuelekea Hoteli ya Protea waliyoandaliwa kufikia.
No comments:
Post a Comment