ISABELA MPANDA: NINAUJAUZITO WA LUTENI KARAMA
Isabela Mpanda akikandamiza kitu mwake na Luteni Karama.
Isabela Mpanda akikandamiza kitu mwake na Luteni Karama.
STAA wa filamu Bongo ambaye pia aliwahi kushikilia taji la miss Ruvuma mwaka 2007, Isabela Mpanda juzikati alifunguka na kuweka wazi kuwa ni mjamzito, na kwamba mwanaume aliyemdunga ujauzito huo ni mshika mic wa kundi la Gangwe Mob Luteni Karama.
Mpanda alisema hayo usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake Mtaa wa Bwawani Kijitonyama wakati akibadilishana mawili matatu na Mateja20.
"Nimeamua kumzawadia Karama wangu alau mtoto maana shughuli yake ni tamu na kwamba sioni haja ya kuendelea kumbania wakati wazi nampenda kupita maelezo, huwezi kuamini kwa sasa nimekuwa na wivu naye kiasi kwamba hata marafiki zangu sitaki kuwaamini tena kwa Karama wangu," alisema Mpanda.
No comments:
Post a Comment