GALILE, MASHALI KUTWANGANA APRILI 9 DAR
Mabondia, Selemani Galile (kushoto) na Thomas Mashali walipokuwa wakitambulisha mpambano wao jana. Katikati ni Yassin Abadalah akiwa na mkanda unaowaniwa na mabondia hao.
Yassin Abdalah akiuonyesha mkanda wa TPBO ofisini kwake.
MABONDIA Selemani Galile na Thomas Mashali wanatarajia kupanda ulingoni Aprili 9 mwaka huu kuwania mkanda wa ubingwa wa chama cha ngumi za kulipwa nchini (TPBO) litakalofanyika katika ukumbi wa Friends Corner, Manzese Dar es Salaam.
Pambano hilo linalotarajiwa kuwa la uzito wa kg 75 na raundi 10 litaratibiwa na TPBO.
Vilevile, Rais wa TPBO, Yassin Abdalah, alisema kabla ya mapambano huo hufanyika mkanda huo ulikuwa wazi hivyo atakayeshinda atatwaa ubingwa huo.
Mbali na mapmbano huo siku hiyo, kutakuwa na uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa masumbwi wakiwemo mabondia Lenox Lewis, Holyfield Evander, David Haye, Vladimir Klitchko, Manny Paquiao, Floyd Mayweather, Roj Jones na wengine wengi ambazo zimeandaliwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila Super D.

No comments:
Post a Comment