HAPPY BIRTHDAY GLOBAL PUBLISHERS LTD
KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS & GENERAL ENTERPRISES LTD, WACHAPISHAJI WA MAGAZETI YA UWAZI, CHAMPIONI,IJUMAA, RISASI, IJUMAA WIKIENDA NA AMANI LEO INASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 14 KATIKA KUWAPASHA HABARI WASOMAJI.
KAMPUNI ILIANZA MWAKA 1998 IKIWA NA GAZETI LA UWAZI NA MPAKA SASA INA MAGAZETI SITA YANAYOTOKA KWA WIKI MARA SITA.
GLOBAL PUBLISHERS INATOA SHUKRANI ZA DHATI KWENU WASOMAJI NA WADAU MBALIMBALI AMBAO MMEIFIKISHA HAPA ILIPO SASA. HATUNA ZAWADI MAALUM YA KUWEZA KUWAPA KWANI MMETUFANYIA MAKUBWA MNO, ILA TUNAWAAHIDI KUBORESHA HABARI ZETU NA KUWAPA HABARI MOTOMOTO ZITAKAZOWABURUDISHA NA KUWAELIMISHA.
ASANTENI SANA.

No comments:
Post a Comment