Wednesday, March 6, 2013

LAANA: MWANAMKE ANASWA AKIFANYA MAPENZI MBELE YA MTOTO WAKE...BILA AIBU HUKU MTOTO AKILIA KWA UCHUNGU



Ni tukio la aibu na lenye kuumiza mno lililotendeka mbele ya mtoto mdogo .Nimehuzunishwa na kuachwa na butwaa baada ya kuiona video ....

Video hiyo sitaipachika hapa kwa sababu wanaosoma ukurasa huu ni watu wa umri na rika mbalimbali ambao Mpekuzi haiwezi kuhakiki endapo kisheria wamevuka umri wa miaka 18 na wanaweza kutizama video hiyo.

Huyu ni mama wa kizimbambwe ambaye alikuwa akifanya "mapenzi ya kuiba".. ..Hapa namaanisha alikuwa "akisaliti" na ndo maana wamediriki kutenda uchafu huu mbele ya mtoto.
Katika video hii, mtoto anaonekana akiambaa kitandani huku akilia na kuita "mama..!...."mamaa!.Mbaya zaidi ni kwamba, mtoto huyu hakusikilizwa na badala yake waliendelea kungonoka...!!!

Baada ya mtoto kuona hawamjali, aliamua kujikokota na kusogea kidogo huku akilia...Cha kuumiza ni kwamba, mtoto alinyanyua mkono wake wa kushoto na kushika kichwa huku akimshuhudia mama yake akingonoka......


Yule mwanaume alipoona hivyo alisikika akisema .."Ndo naelekea kumaliza"

Mwanamke naye aliuliza kwa mshangani.."Unasemaje?

Mwanaume akajibu tena..."Vipi, we bado? mi ndo naelekea kumaliza."

Dakika chache baadae, mwanaume alisikika akitoa "mguno " wa mwisho kuashiria kafika kileleni

Baada ya hapo mwanamke alisikika akilaumu kuwa yeye alikuwa bado kidogo.....Jamaa alimjibu jibu fupi kwamba Atamfikisha siku nyingine wakikutana.

Wakati hayo yote yanatendeka, mtoto alikuwa analia kwa uchungu

WASANII WA MOVIE WAJIPANGA KUMUENZI KANUMBA



Marehemu steven kanumba

WASANII wa filamu Tanzania wapo katika harakati za mwisho wa mchakato wao katika maandalizi ya kumuenzi marehemu Steven Kanumba, ikiwa ni moja ya jambo walilokusudia kuhakikisha wanamuenzi na kuthamini mchango aliouacha kwenye tasnia ya filamu

Akizungumzia maandalizi hayo jijini Dar es Salaam rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba alisema kuwa baadhi ya maandalizi yameanza kwa ajili ya kumuenzi marehemu Kanumba, huku wakishirikiana na familia ya marehemu ili kuweka mipango ya nini kifanyike katika harakati za kutimiza lengo

Alisema kuwa lengo lao lazima litimie kwa sababu walikusudia kufanya kitu kwa ajili ya kumuenzi marehemu kutokana na mchango wake aliouacha kwenye filamu na ili kudhihirisha hilo wanaamua kumenzi katika hali ya kiupekee

"Lazima tufanye kitu cha tofauti katika kumuenzi marehemu na ili tuonyeshe upendo wetu lazima tuheshimu kile alichokiacha kwa kuendeleza" alisema Mwakifwamba

Aliongozea kuwa muda ukifika na maazimio yakipitishwa ndipo ataweka wazi ni jambo gani lililokusudiwa kufanyika

Akizungumza na sisi maeneo ya hotel ya lamada msanii ambaye anasifika kwakuwa baba wa wasanii JB amesema kuwa si jambo la kufikiria kwa mtu kama Kanumba kumfanyia siku ya kumbukumbu kwani mchango wake kwa tasinia hii ni mkubwa sana pengine kuliko mtu yeyote kwani alitufanikishia kutafuta masoko ya nje na hata hapa ndani hakuna ubishi kuwa Kanumba na Ray wana mashabiki wengi sana so kwetu kama wasanii tutaungana na kuweka kila kitu pembeni kwa ajili ya kumuenzi mwenzetu aliyetangulia mbele ya haki .

Kwa upande wa Vicent Kigosi(Ray) alisema siku hiyo ni muhimu sana na ni siku ambayo kwake haitamtoka akilini mwake na mkumbuka  kwa mengi sana nachoweza kusema Mungu ampe pumziko la amani,Ray ameyaongea hayo kwa uchungu sana na kuwaasa wasanii kumrudia Mungu kwani hakuna ajuae siku wala saa.

Marehemu Steven Kanumba amefariki april 7 mwaka 2012 ambapo chanzo cha kifo chake kinadaiwa kuwa ni ugomvi wa mapenzi, na aliyekuwa mpenzi wake msanii mwenzie wa filamu Lulu ambae bado anakabiliwa na kesi hiyo licha ya kuwa nnje kwa dhamana.

MWANAMKE ABAKWA BAADA YA KUCHANGANYIWA MADAWA KATIKA POMBE YAKE



Huyu ni mrembo aliyekuwa amepata mwaliko toka kwa jamaa mmoja ambaye walijuana katika birthdaya ya rafiki yake.....

Inadaiwa kuwa Binti huyu anasifika kwa kuwachuna wanaume wanaoigia katika anga zake na kuwatelekeza.Bahati mbaya msimu huu haukuwa wake baada ya kuwekea madawa ya kulevya katika kinywaji chacke......


Binti hakuweza kuusoma mchezo maana tayari pombe ilikuwa imeshaanza upanda kichwani....Baada ya muda, mrembo alikuwa hoi bin taabani na ndipo wavulana hao walipombeba na kumbaka na kumchakaza vibaya kila upande kisha kumpiga picha ambazo huwezi kuzichapisha hapa na baadae kumtupa kama taka

Tuesday, March 5, 2013

HUYU NDIO MWANAMKE ANAEOLEWA NA 2FACE WIKI HII.



Blogger maarufu wa Nigeria Linda Ikeji amesema kwamba staa wa muziki 2Face Idibia anatarajia kufunga ndoa ya kimila ijumaa hii tarehe 8 March 2013 na party nyingine ya harusi itafanyika Dubai, kwa sasa chukua muda wako kupitisha macho kwenye pichaz za pre-wedding.


.


.


.


.

MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA AVAMIWA NA KUTOBOLEWA JICHO



Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Dimba, Bingwa na Dimba, Absalom Kibanda amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari lake wakati akiingia nyumbani kwake Mbezi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Kibanda alivamia majira ya saa sita usiku wa kumkia leo, akitokea kwenye majukumu yake ya kila siku. Inadaiwa kuwa alichomolewa kwene gari, akapigwa na vitu vyenye ncha kali kichwani, ametobolewa jicho lake la kushoto pamoja na kunyofolewa kucha na baadhi ya vidole na hatimaye kutupwa umbali kidogo ya nyumbani kwake.

Baada ya hapo wasamalia wema walijitokeza na kumkimbiza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ambako alipokelewa vizuri na madaktari na kumpatia tiba ya awali na baadaye kumhamishia Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) ambako mpaka sasa anaendelea na matibabu.

Watu waliomfanyia madhara hayo, hawakuweza kuchukua kitu chochote kwenye gari ambapo kulikuwemo Laptop, simu na nyaraka zingine.

Blog ya Kamanda wa Matukio imesikitishwa sana na unyama huo aliofanyiwa mpiganaji Kibanda na inaomba vyombo vya Dola vifanye jitihada za ziada kuwabaini wale waote walihusika na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria.

Pole sana mpiganaji wetu Kibanda, Mungu atakujalia upate matibabu na kupona haraka. Amin.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...