Monday, June 4, 2012

HAPPY BIRTHDAY DEVOTA DIVA

Devota  Diva wa ukweeh
baadhi ya vimiminika
counter ilikuwa chini ya Herry star
Sisters, Roberta n Diva
cousins
Mishy,Devota n James
mama K
J wake lo,Jacky  &Vivy
ladies
Mishy,bibi harusi mtarajiwa n Sarah
keki ilisindikizwa hivii

black forest na moet
Vivy n Diva
heeeeee
stunning
Bea n Sintah
heyyyy Chinekeeeeeee  huooo

GLORIOUS CELEBRATION WAKIMWIMBIA MUNGU KATIKA MKESHA WA KANISA LA KATOLIKI CHARISTIMAC LA UBUNGO SIKU YA IJUMAA
Huu ulikuwa ni mkesha ambao ulijumuisha wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kwa lengo la kumtukuza Mungu na kumsifu katika kanisa la Wakatoliki waliookoka.
Glorious Celebration waliaalikwa kwaajili ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Mbali na uimbaji GC walionekana kuingia katika huduma nyingine ya maombezi hasa pale Paul alipoimba wimbo wa mwimbaji wa Zambia, Ephraim Sekeleti. Wanavyuo walionekana kulia na kububujika kwa machozi.
 Vijana walioamua kufanya kazi ya Bwana, Glorious Celebration wakiwa madhabahuni pa Bwana
 Mercy akiiumba wimbo wa Niguse
 Alexm Kisongo akiutumia vyema ujana wake kwa kazi ya Bwana
 Aron alijikita katika kumuimbia Bwana kwa style ya sebene
 The MD, Emmanuel Mabisa akiwaimbia wapenzi wa GC wimbo wa Niguse
 Baadhi ya wanachuo
 Paul alipowagusa watu kwa wimbo wa Usielala wa Ephraim sekeleti ambao uliwafanya wanavyuo kutoa machozi
GC wakiwa katika uwepo wa Bwana na "Usielala"
 Baadhi ya waimbaji kutoka vyuo mbalimbali

Saturday, June 2, 2012

Redds Miss Singida 2012, Zena Mode akiwa na mshindi wa pili Rehema Marwa (L) na wa tatu Eliza Diamond.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikabidhi zawadi Zena Mode, baada kuibuka mshindi, shindano la Miss Singida, lililofanyika usiku wa kuamkia leo, Juni 2, 2012 katika ukumbi wa Aqua mjini Singida. Mshindi wa kwanza amepata sh. 400,000, wapili sh. 300,000 na wa tatu sh. 200,000.  Akifungua shindano hilo, Nape ameahidi kwamba CCM itatoa ajira kwa miss Singida kama atafanikiwa kuingia katika tatu bora katika shindano la Miss Tanzania.na kwamba CCM inayatambua mshindano ya urembo hapa nchini.

Nape akiwa na Miss Singida, Zena Mode. wengine ni mshindi wa pili Rehema Marwa na  mshindi wa tatu, Eliza Diamond.

Warembo walioingia tano bora.

Msanii Khadija Kopa akitumbuiza mashabiki wakati wa shindano hilo mjini Singida.

Nape akimtuza Khadija Kopa wakati wa shindano hilo
WORSHIP HOUR 
TAMASHA LA KUTOKOSA 

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MMILIKI WA KLABU YA PORTSMOUTH DKT. SULAIMAN AL FAHIM IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Group ya Saudi Arabia, Dkt. Sulaiman Al Fahim wakati walipokutana leo, Jumamosi, Juni 2, 2012, Ikulu Dar es Salaam. Dkt. Al Fahim ambaye ni mwenyekiti wa zamani na mmiliki mwenza wa Klabu ya soka ya Portsmouth ya Uingereza yuko nchini kuangalia uwezekano wa kuwekeza katika uchumi wa Tanzania. Dkt. Al Fahim pia ndiye aliyeongoza mazungumzo na kununuliwa kwa klabu bingwa ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Manchester City na Kampuni ya Arabuni.
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mzungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Group ya Saudi Arabia, Dkt. Sulaiman Al Fahim
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Group ya Saudi Arabia, Dkt. Sulaiman Al Fahim mara baada ya  mazungumzo yao Ikulu leo. 

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...